SOMI

Shirika la Elimu na Utamaduni

Julian Murchison akipongezana na Mheshimiwa Diwani wa kata ya Mshangano baada ya mkutano kufanyika Namanyigu.

Kuhusu SOMI

Phone: 555-555-5555

Fax: 555-555-5555

E-mail: someone@example.com

SOMI (Songea-Mississippi) ni asasi lisilo la serikali linaloshughulikia masuala ya elimu na utamaduni kwa ujumla.  Ofisi kuu za SOMI zitafunguliwa katika manispaa wa Songea, mkoa wa Ruvuma.  SOMI lina lengo la kujenga kituo bora cha elimu na utamaduni mjini Songea.  SOMI pia linajitahidi kujenga mawasiliano kati ya wananchi wa Tanzania na Marekani, hasa watu wanotoka sehemu za kusini za hizo nchi mbili (mkoa wa Ruvuma na jimbo la Mississippi).

 

SOMI liliundwa chini ya uongozi wa  Damas D. Ndumbaro, wakili wa kujitegema nchini Tanzania na Dr. Julian M. Murchison, anayefundisha sayansi ya jamii katika Millsaps College nchini Marekani.  Hawa wawili ni wajumbe wakuu wa bodi ya SOMI.

To contact us: