SOMI: Songea-mississippi

Shirika la Elimu na Utamaduni

Wenyeji wa Namanyigu pamoja na wajumbe wa SOMI.

Kurasa Mama

Karibu katika kurasa hizi mpya zinazolezea shughuli za Songea-Mississippi (SOMI).  SOMI ni asasi lisilo la serikali, yaani NGO, lenye lengo la kudumisha elimu na utamaduni kupitia kwa maelewano na mawasiliano kati ya watu mbalimbali , hasa wenyeji wa mkoa wa Ruvuma manispaa wa Songea na watu kutoka jimbo la Mississippi nchini Markeani.

 

Tumeanza shughuli zetu hivi karibuni.  Karibuni tena kufuatilia shughuli zetu zinazoendelea.

Box 79944

Dar es Salaam, Tanzania

East Africa

To contact us:

Phone: 555-555-5555

Fax: 555-555-5555

E-mail: someone@example.com